DAY THREE: Saa ya kuimiliki Nuru na kuangaza katika maisha yako.

Chargement...

Merci ! Partagez avec vos amis !

Vous avez aimé cette vidéo, merci de votre vote !

Ajoutées by admin
203 Vues
MATHAYO 5:14-16

[14] Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima.

[15] Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango, nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.

[16] Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Catégories
Massages Erotiques

Ajouter un commentaire

Commentaires

Soyez le premier à commenter cette vidéo.