ROLLY KABOYA-Na Chagua Nuru [Audio Officiel]

Chargement...

Merci ! Partagez avec vos amis !

Vous avez aimé cette vidéo, merci de votre vote !

Ajoutées by admin
162 Vues
Na Chagua Nuru [Je choisis la lumière]
[I choose the light]
By Rolly Kaboya
1. Nuru na giza mimi na chagua nuru
Nuru ni yesu giza shetani
Maisha yangu mimi namupa yesu
Kwani yeye ni uzima wa milele
Mimi na chagua nani
Ref. Na chagua yesu , na chgua yesux4
2. Jiya bado ni defu na itaji nguvu zako
Eh bwana wangu tembeya nami
Wingu mbele yangu baba uni ongoze
Kama nguzo ya moto uni ongoze
Na omba utembeye name
Ref. Tembeya nami, tembeya nami x4
3. Mahobi yangu leo baba ongeya name
Itaji ni mengi uni sayidiye ata katika ndoto yangu
Useme nami, usini fitshe tshotshote rafiki mwaminifu
Na omba ongeye name
Ref. Ongeya name, ongeya name x4.
Mungu wangu, mungu wangu eeh mungu wangu
sina namwingine wakwita paka wewe paka wewe
Ta enda wapi bwana wangu bwana wngu eeh bwana wangu
sina na kwingine kwa kwenda paka kwako paka kwako….
Kama si wewe baba ni nge kuya dje mimi
Kama siku kuwa wako ni nge kuwa wa nani
Moyo wangu tuliya ukaé na bwana
Moyo wangu tuliya uta ona maku ya mungu
Moyo wangu tuliya uwone wema wake
Titi titigiti Cris de joie
Titi titigiti Cris de joie
Nigana muke (bouge un peu)
https://music.apple.com/us/album/na-chagua-nuru-single/1535339160
Spotify
Catégories
Massages Erotiques

Ajouter un commentaire

Commentaires

Soyez le premier à commenter cette vidéo.