Serikali yapania kufunga nyumba na vituo vya kuwatunza watoto na mayatima

Votre vidéo commence dans 20
Passer (5)
cash machine v4

Merci ! Partagez avec vos amis !

Vous avez aimé cette vidéo, merci de votre vote !

Ajoutées by admin
44 Vues
Serikali inapania kufunga nyumba na vituo vya kuwatunza watoto na mayatima na kuwaregesha watoto walioko kwenye nyumba hizo katika jamii. Mpango huo utaathiri takriban watoto elfu 50 wanaotunzwa katika vituo 800 humu nchini. Janet Achieng’ mwenye umri wa miaka 23 ni mmoja wa watu ambao hawajui familia yao iliko. Janet aliokolewa na kulelewa katika shule ya wasio na uwezo wa kusikia ya maseno. Janet ambaye chimbuko lake ni kaunti ya Siaya anaitafuta familia yake miaka 11 baadaye.
Catégories
Massages Erotiques

Ajouter un commentaire

Commentaires

Soyez le premier à commenter cette vidéo.