#LIVE: IBADA YA LUNCH HOUR | 01 - 03 - 2023

Votre vidéo commence dans 20
Passer (5)
annuaire, ajoutez vos annonces, petites annonces

Merci ! Partagez avec vos amis !

Vous avez aimé cette vidéo, merci de votre vote !

Ajoutées by admin
46 Vues
KKKT KANISA KUU AZANIA FRONT - IBADA YA LUNCH HOUR

SOMO: MACHO YAKO YANAONA SAWA SAWA?
WAEFESO 1: 17 - 23

MHUBIRI: REV. FRANK ANDOE
---------------------------------------------------------------
WAEFESO 1: 17 - 23
17 Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa utukufu, awape ninyi roho ya hekima na ya ufunuo katika kumjua yeye;
18 Macho ya mioyo yenu yatiwe nuru, mjue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo; na utajiri wa utukufu wa urithi wake katika watakatifu jinsi ulivyo;
19 Na ubora wa ukuu wa uweza wake ndani yetu tuaminio jinsi ulivyo; kwa kadiri ya utendaji wa nguvu za uweza wake;
20 Aliotenda katika Kristo alipomfufua katika wafu, akamweka katika mkono wake wa kulia katika ulimwengu wa roho;
21 Juu sana kuliko ufalme wote, na mamlaka, na nguvu, na utawala, na kila jina litajwalo, wala si ulimwenguni humu tu, bali katika ule ujao pia;
22 Akavitia vitu vyote chini ya miguu yake, akamweka awe kichwa juu ya vitu vyote kwa ajili ya kanisa; ambalo
23 Ndilo mwili wake, ukamilifu wake anayekamilika kwa vyote katika vyote.

1 SAMWELI 3: 1 - 21
1 Basi, mtoto Samweli akamtumikia BWANA mbele ya Eli. Na neno la BWANA lilikuwa adimu siku zile; hapakuwa na mafunuo dhahiri.
2 Ikawa wakati huo, Eli alipokuwa amelala mahali pake (tena macho yake yalikuwa yameanza kupofuka, hata asiweze kuona),
3 na taa ya Mungu ilikuwa haijazimika bado, na Samweli alikuwa amelala katika hekalu la BWANA, palipokuwa na sanduku la Mungu;
4 Basi, wakati huo BWANA akamwita Samweli; naye akasema, Mimi hapa.
5 Akamwendea Eli kwa haraka, akasema, Mimi hapa; kwa maana uliniita. Akasema, Sikukuita; kalale tena. Naye akaenda, akalala tena.
6 BWANA akaita mara ya pili, Samweli! Samweli! Akaondoka akamwendea Eli, akasema, Mimi hapa; kwa maana uliniita. Akajibu, Sikukuita, mwanangu; kalale tena.
7 Basi Samweli alikuwa hamjui BWANA bado, na neno la BWANA lilikuwa bado halijafunuliwa kwake......

----------------------------------------------------------------

KARIBU KUTOA SADAKA KWA NJIA ZIFUATAZO:
-----------------------------------------------
WAKALA WA M-PESA & NAMBA YA MPESA
579 579 4 || 0757 - 391 - 174
JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL

MAENDELEO BANK
A/C NO 0137 9274 6021
JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL

TUFUATILIE KWENYE MITANDAO KWA TAHARIFA ZAIDI:
Instagram page: https://www.instagram.com/kkkt_azaniafront_cathedral/
Website: https://www.azaniafront.org/
Facebook: https://www.facebook.com/KKKT-Azania-Front-Cathedral-101434162039079
#azaniafrontcathedral #ibada #lunchhour
Catégories
Massages Erotiques

Ajouter un commentaire

Commentaires

Soyez le premier à commenter cette vidéo.